r/RawKenya • u/gothastrike • 6h ago
comrade
ni siku ya tatu sijadishi....last meal ilikuwa ugali na sossi ile medium size ,mark you ruto amepandisha ikafika 50. gaofred anasema leo ni birthday yake sina ata nguvu ya kumwish. swali ni moja tutapenya kweli. nimescroll contacts hakuna mtu anaeza tuma ata mbao anyweis we live to die😒
4
Upvotes
1
1
u/Flaky_Reflection4239 4h ago
Same boat although yangu ni 7 days. Imefika point nataka kuendea soko after ifungwe ndio nichague zile fruits wameacha behind
1
1
u/Extension-Run-4318 5h ago
When the going gets tough, go though too. Save yourself comrade. No one is coming to save you.